Mwanamuziki Diamond  anayevuma kwa sasa hapa nchini  kifanya onyesho zito na la kukata na shoka mbele ya mashabiki wake  kwenye ukumbi wa Dar Live, onyesho hilo  lililofanyika jana siku ya jumapili na kuvuta hisia za mashabiki wake lukuki waliojitokeza kumshuhudia akishuka na helikopta kama ilivyokuwa imetangazwa na waandaji wa onyesho hilo.
 Mwanamuziki Diamond akijiandaa kwenda kupanda helikopta tayari kwa kuelekea katika ukumbi wa Dar Live
 Mwanamuziki Diamond akiwa kwenye helikopta tayari kuelekea Dar Live.
 Hapa akionyesha ishara ya kuwasalimia mashabiki wake kwa heshima.
 Akiuangalia umati mkubwa uliojitokeza kwenye ukumbi wa Dar Live ili kushuhudia wakati akishuka na helikopta.
 Wacheza shoo wake wakifanya vitu vyao jukwaani.
Wasanii wa Pah One, Watanzania wenye maskani yao Afrika Kusini wakifanya vitu vyao
Timbulo akifanya vitu na dancers wake
Katika shoo zote za Dar Live, Diamond amevunja rekodi ya idadi ya mashabiki
...Diamond akifanya vitu vyake, akiwa amevalia staili ya US Marine.
...ilikuwa ni shoo iliyopandisha mzuka wa mashabiki kupita kawaida
....Diamond na dancers wake kazini..
...katika shoo zote za Dar Live, Diamond amevunja rekodi ya idadi ya mashabiki
...Diamond Full mzuka!
...hii ndivyo ilivyokuwa Dar Live usiku wa kuakia leo!
...dancers wa Diamond wakifanya vitu vyao:
WAFUATAO NI WASANII WALIOMSINDIKIZA DIAMOND PLATINUM:
Bwana Misosi....
...Wakali Dancers
...licha ya mvua kunyesha wakati fulani, mashabiki hawakukubali kuondoka bila kumuona Diamond!
.....licha ya kimvua, burudani ziliendelea kama kawa...Michael Jackson wa Bongo akifanya vitu vyake
.....msanii Tumbulo akiingia kistaili jukwaani
.....Timbulo akifanya vitu na dancers wake
....Timbulo akiwa juu ya jukwaa..
...wasanii wa Pah One, Watanzania wenye maskani yao Afrika Kusini wakifanya vitu vyao
...mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Pah One
....mashabiki wakiwa full mzuka!

PICHA KWA HISANI YA GLOBAL PUBLISHERS

Post a Comment

 
Top