Msanii wa Bongo Fleva Albert Mangwair a.k.a Ngwair amefariki dunia akiwa nchini Afrika Kusini.
Habari kutoka kwa mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi, amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya show South Africa, ambapo alikua na msanii mwingine anaeitwa M to the P, na walitakiwa kuondoka leo kurudi Dar saa tatu asubuhi, lakini baada ya kuona hawatokei ndio wakaamua kwenda walipokuwa wamefikia na kuwakuta wote wawili wakiwa hawajielewi baada ya kujidunga madawa ya kulevya mengi (overdose), walipowahishwa hospitali, habari ndio ikawa hivi, kuwa Ngwea amefariki na M to the P yuko hoi hospitali
kuwa mangwear  Photo: Cow bzzzy! a.k.a mimi¿
  HII NI PICHA YAKE YA MWISHO ALIPOST KATIKA WALL YAKE YA FACEBOOK
tarehe 5 february
HABARI ZAIDI NA KWA KINA ZITAKUJIA HAPAHAPA 

                                R.I.P MANGWEAR

Post a Comment

 
Top