TUME YA VYUO VIKUU NCHINI TCU imetoa TANGAZO muhimu kwa wanafunzi wa kidato cha Sita na wale waliosoma nje ya nchi waliojiandikisha na kuomba kuingia katika vyuo vikuu kwa mwaka wa masomo 2013/2014 kupitia utaratibu wa kieletroniki wa CENTRAL ADMISION SYTEM (CAS) Kuwa wanatakiwa kuangalia kwa upya maombi Yao na PIA TCU imetoa majina ya wanafunzi hao walioshindwa kufikikia viwango vya kuweza Kujiunga na vyuo walivyoomba na program walizochagua 
.katika TANGAZO Hilo wametoa sababu za msingi zilizosababisha wanafunzi hao kukosa sifa Kuwa NI pamoja na kukidhi vigezo Lakini kuna ushindani mkubwa ,PIA wengi Wao walishindwa kukamilsha maombi ya program walizoomba PIA na WENGINE kuchagua Kozi ambazo hawajakidhi Alama za kusoma Kozi hizo.
TCU Wametoa Siku 11 za kuomba tena kwa wanafunzi Waliokosa nafasi katika awamu ya kwanza ya udahili NI kuanzia jumatatu iliyopita TAREHE 29 mpaka TAREHE 9 agosti
TANGAZO LENYEWE NI HILI HAPA 

Call for Second Round Through Central Admission System for Applicants who Have Not Been Selected During the First Round of Application due to Various Reasons.

1. Overview

TCU informs all applicants (Form six and applicants with foreign certificates) whose names have been published on TCU website that, they have not been selected in all of their choices due to various reasons including:

i) Being eligible but left due to Competition; ii)Failure to submit their programme choices;
iii) Choosing programmes that they do not qualify.

These applicants are therefore informed that they are given another chance to re-apply other programmes they qualify through the Central Admission System. 


Endelea kusoma hapa kwa kuona na listi ya majina ya wanafunzi Waliokosa 

BOFYA Linki hiyo >>>>http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Not%20selected_%2031_07_2013.pdfPost a Comment

 
Top