Liverpool iliyokua inashika namba 3 katika msimamo wa ligi kuu ya Uingereza mpaka sasa imebaki katika nafasi hiyo hiyo ikiwa na jumla ya alama 45. Ndoto zakuongeza pointi za liverpool zimepotea baada ya Gylfi kufunga goli la tatu na laushindi katika dakika ya 74. Llorente ndo alifungua milango kwa Swansea City baada ya kuifungia magoli mawili ya awali na yakuongoza ingawa baadae yalisawazishwa na Firmino wa liverpool.
Hii hali inawafanya mashabiki wa Chelsea kufurahi zaidi wanapoona wapinzani wao wanakutana na matokeo mabaya.

Tazama hapa mchezo kwa ufupi.

Post a Comment

 
Top