Mchezaji mkongwe wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Chelsea aliyekua akicheza katika nafasi ya kiungo ameweka wazi kustaafu kucheza soka.

Frank Lampad ni mchezaji mkongwe wa klabu ya Chelsea ametangaza kuacha kucheza soka akiwa na umri wa miaka 38 kwa sasa.

Frank Lampard klabu yake ya mwisho kuichezea ilikua New York City FC ambapo mkataba wake uliisha mwaka jana.

Lampard ameandika katika ukurasa wake wa Instagram " Baada ya miaka 21 ya maajabu, nimefanya maamuzi sasa ni muda sahihi kuachana na soka"

"Ingawa nimepokea ofa nyingi za kuendelea kucheza mpira nyumbani na nje ya nchi katika umri wa miaka 38, lakini naisikia saizi ndio muda wakufungua ukurasa mwingine katika maisha yangu. Najisikia furaha kwa makombe ambayo nimeweza kushinda na kuiwakirisha nchi yangu kwa zaidi ya mechi 100 na kuweza kufunga zaidi ya magoli 300 katika kipindi changu cha soka".

"Nina watu wengi wakuwashukuru. Nawashukuru wazazi wangu kwa kunionesha thamani ya kufanya kazi kwa juhudi,

Lampard kwa sasa anaangalia mbele kuanza maisha ya kufundisha soka akiwa anasubiri toka chama cha soka cha Uingereza.


After 21 incredible years, I have decided that now is the right time to finish my career as a professional footballer. Whilst I have received a number of exciting offers to continue playing at home and abroad, at 38 I feel now is the time to begin the next chapter in my life. I’m immensely proud of the trophies I’ve won, of representing my country over 100 times and of scoring more than 300 career goals. I have many people to thank. I thank my parents for instilling in me the values of hard work, dedication and professionalism, values which I have carried with me in everything that I do. I am forever grateful for the support of my family, my wife Christine and my two daughters Luna and Isla. What you have given me off the pitch has always been my strength on it. I love you all very much. Also, my friends and my own team that have always been there for me. I would like to thank the amazing team-mates, coaches, managers and backroom staff that I was privileged to work with. I’d also like to pay tribute to the clubs that I have represented. Firstly, West Ham United who gave me my debut in 1996. Thanks to the people there that believed in me at that young age. More recently Manchester City and NYCFC. I greatly enjoyed my last playing years at these two clubs and really appreciate the support I received from City Football Group and both clubs’ fans. Of course, the largest part of my heart belongs to Chelsea, a club which has given me so many great memories. I will never forget the opportunity they gave me and the success that we managed to achieve together. It is impossible to give thanks individually to all the people that helped and supported me in my 13 years playing there. All I can say is from the day I signed until now and going forward, I'm eternally grateful for everything and to everyone. Chelsea fans gave myself and my teammates such incredible support. Their passion and hunger drove me on personally to give my best year after year. I couldn't have done it without them. Looking forward, I'm grateful to the FA for the opportunity to study for my coaching qualifications and I look forward to pursuing the off-field opportunities that this decision opens.
A video posted by Frank Lampard (@franklampard) on

Post a Comment

 
Top