Hii ni taarifa maalum kutoka kwa Diamond Platnumz ambayo inamuhusu kila alieshabikia yake na mpenda burudani wa mzikiwa hapa nyumbani Tanzania

Hitmake huyo wa 'Marry you' aliyomshirikisha Ne-yo ameitangaza live show yake ambayo ataipiga na Future kutoka marekani pindi itakapotimia mwezi wa saba mnamo tareehe 24.

Post a Comment

 
Top