Bodi ya Wakurugenzi,  Menejimenti na wafanyakazi wa Kampuni ya Maxcom Africa - Maxmalipo.  wametuma Salamu za Pongezi kwa Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John P. Magufuli , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein na Watanzania wote kwa ujumla kuadhimisha kumbukumbu ya Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanziba ( Tanzania)

Post a Comment

 
Top