Mchezaji wa timu ya taifa ya Argentine na klabu ya Barcelona, Lionel Messi amemuoa mpenzi wake wa sikunyingi, Antonela Roccuzzo hapo jana katika hoteli ya kifahari ya Rosario nichini Argentina.
 
Lionel Messi akiwa na mkewake, Antonela Roccuzzo
Messi mwenye umri wa miaka, 30 na mkewe Antonela Roccuzzo , 29 wamekuwa wapenzi tangu utotoni na huku familia zao zikiwa zimeishi karibukaribu.  Harusi hiyo ya mchezaji bora duniani ilikuwa na wageni waalikwa 260 pekee huku maelfu ya askari polisi wakitanda maeneo hayo ya harusi katiangwa.
Lionel Messi akiwa na mkewake, Antonela Roccuzzo
Messi alikutana na Roccuzzo akiwa na umbra wa miaka 13 kabla ya kuhamia Hispania.
Mama yake Messi Celia, baba yake Jorge na dada yake Maria wakifika kwenye harusi ya Messi
mwa wagon waalikwa hapo jana siku ya Ijumaa nipamoja na Luis Suárez, Neymar, Gerard Piqué akiwa na mkewe Shakira, wageni wengi waliwasili na ndege binafsi, magazeti ya nchini Argentina yameandika kuwa hiyo ni arusi ya mwaka.
Xavi Hernandez, Cesc Fàbregas na Carles Puyol wakiwasili na wakezao
Mchezaji wa Argentine Ezequiel Lavezzi name akiwa Latina red kapeti
Rosario Hotel City Center ikiwa imeandaliwa kwaajili ya tulip hilo
Mchoraji, Lisandro Urteaga akichora picha ya Messi katika ukuta Rosario huku ndoa ikiwa inaendelea 
Wananchi wakiwa nje ya hoteli Rosario wakitaka kushuhudia kinachoendelea


SOURCE;BONGO 5

Post a Comment

 
Top