Wapiganaji wa kupambana na matumizi ya tumbaku waitaka Serikali kuongeza udhibiti wa kisheria juu ya utumiaji tumbaku. Wapambano yaongeza kasi za kuongeza sheria mbadala kwenye mkutano wa Bunge la mwezi Februari 2018 kama ongezeko la mapambano kufwatia mkataba wa mfumo wa kudhibiti matumizi ya tubaku wa 2007 kati ya Tanzania na Shirika la Afya la Dunia (WHO FCTC 2007). 

Post a Comment

 
Top