SeeBaitLeo Agosti 8, 2017, wananchi Kenya wanapiga kura kumchagua Rais atakaye iongoza nchi hiyo.
Tazama hapa moja kwa moja kutoka nchini Kenya kufahamu yote yanayojiri muda huu katika zoezi la upigaji kura ambapo Rais wa sasa Uhuru Kenyatta na Raila Odinga ndiyo wagombea wakuu wa kiti hicho. 

Post a Comment

 
Top