Mchezo wa pili wa NBA Afrika Game kuchezwa Jumamosi Agosti 5 katika Ticketpro Dome jijini Johannesburg, Afrika Kusini kufwatia mipango ya mkutano wa kwanza wa NBA Afrika Innovation na tamasha la Jr. NBA Afrika, kikao cha masuala ya dawa, na mfululizo wa matukio ya kuacha urithi wa kudumu kwa vijana katika jamii.
https://twitter.com/search?q=%23NBAAfricaInnovationPost a Comment

 
Top