Mapigano kati ya polisi na waandamanaji wanaomuunga mkono Raila Odinga yaendelea jijini Nairobi na miji mingine kufwatia madai ya mpinzani huyo kuwa kitambulisho cha afisa aliyeuawa kimetumika kuingia kwenye database ya tume ya uchaguzi na kuendesha matokeo yakidanganyifu.
http://www.independent.co.uk/news/world/africa/kenya-election-2017-riots-break-out-opposition-stronghold-raila-odinga-uhuru-kenyatta-results-a7883881.html 

Post a Comment

 
Top